LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

SITAKI KUJUA

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
I don't wanna know (Sitaki kujua, Sitaki kujua)
I don't wanna know (Sitaki kujua, Eehhh ehhhh)

Just keep it, keep it, keep it,keep it, keep it on the low
Sitaki kujua, Sitaki kujua (Coz I don't wanna know)
Sitaki kujua, Sitaki kujua (No no no no no)
Ehhhh ehhhhh (I don't wanna know nothing)
Usiniambie Usiniambie
Usiniambie Usiniambie
Ati Ulishikana na Nani?
Mukaenda wapi?
Mukafanya nini?
Woooiii
Kwanini wanitesa, navile nakupenda
Mali nakupea thahabu umemeta
Meta meta
Ehhh ehhh?
Upendo ndio hii
Kwanini huchukui
Tulioana zamani
Miaka Karibu kumi
Sasa Unipa hizi
Hadithi
Nyuba nimekupa
Ngari waendesha
Watoto tunalea
Maisha simabaya
Kwanini wanitesa ehhhh
Kwanini wanitesa hivi
I don't wanna know (Sitaki kujua, Sitaki kujua)
I don't wanna know (Sitaki kujua, Eehhh ehhhh)
I don't wanna know (Sitaki kujua, Sitaki kujua)
Just keep it, keep it, keep it,keep it, keep it on the low
Sitaki kujua, Sitaki kujua (Coz I don't wanna know)
Sitaki kujua, Sitaki kujua (No no no no no)
Ehhhh ehhhhh (I don't wanna know nothing)
Usiniambie Usiniambie
Usiniambie Usiniambie
Keweli anaweza kukupa maisha kamą hiii
Ana kutazama ukilala kama mimi?
Ana kubusu kukukumbatia kama mimi?
Nyondo inapiga kama yangu?
Ati unamfayia vile ulikua ikinifanyia
Vitu vile nilikua nikithani nizetu za maishaaaa
Kweli sitaki ukiniacha
Kwakweli sitaki ukienda
Hii mambo kweli imeniweza
I don't wanna know (Sitaki kujua, Sitaki kujua)
I don't wanna know (Sitaki kujua, Eehhh ehhhh)
I don't wanna know (Sitaki kujua, Sitaki kujua)
Just keep it, keep it, keep it,keep it, keep it on the low
Sitaki kujua, Sitaki kujua (Coz I don't wanna know)
Sitaki kujua, Sitaki kujua (No no no no no)
Ehhhh ehhhhh (I don't wanna know nothing)
Usiniambie Usiniambie
Usiniambie Usiniambie

WRITERS

Alexander Karanja

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share

See A Problem With Something?

Lyrics

Other