Na ndege ndo wale, na ndege
Na mimi ndo yule, na mimi
Kama mapenzi kupenda uchizi
Kama mapenzi sio vita, we mbona
Ukiachwa unakunywa pombe?
Mbona vinagongana vikombe?
Awena, ila Awena kapata bwana
Hasara roho, pesa makaratasi
Hasara, unaweza ukapata kesi
Yanaweza yakakuendesha moyo
Ukicheka cheka yatakupanda
Mapenzi noma yatakutoa kamasi
Wanapenda partying kila day
Mi nilivyo majalala ananipinga
Mi nilivyo majalala kweli
Mi napiga simu, ye mwenzangu
Anakata, ila yeye kwake anaona sawa
Ujeuri wake umevuka mipaka
Nisiongee, yani kwake sina power
Kwa penzi lake nilijitoa sadaka
Ila ndo hivyo bado naonekana chawa
Napiga goti kuna muda nisamehe
Kwa penzi lake kilema nimelemaa
Sina mwendo, nipo nipo ila na-enjoy
Kama mapenzi kupenda uchizi
Mbona vinagongana vikombe?
Mapenzi hivyo yalivyo, hivyo
Yananipeleka ndivyo sivyo
Yalivyo kama vita vya mawe
Mi ni rangi sio ya Kibongo
Hata na mimi nabonyeza reli