LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Naogopa

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Anh, anh
Okay
Weeh
Alah
Adasco unajua man
Amm

Mwenzenu nina wasiwasi
Naogopa nikimpa moyo atatulia
Nina wasiwasi
Naogopa nyuma yasije tena kujirudia

Mwenzenu nina wasiwasi
Naogopa nikimpa moyo atatulia
Nina wasiwasi
Naogopa nyuma yasije tena kujirudia

Neno nakupenda sana nimeambiwa na wengi
Moyo umeumbwa na tamaa ila mi kudanganywa sipendi
Yeye na shoga kutwa wanapenda kuspend
Spendi, spendi, spendi

Mimi mwenzio na wasiwasi
Naogopa utanipa pigo
Na wasiwasi nishachoka kuibeba mizigo
Niambie kweli kama utanipenda mwenzio
Niambie ukweli

Jamani naogopa
Mwenzenu naogopa
Jamani naogopa
Mwenzenu naogopa

Uzuri wa nyumba
Uzuri wa nyumba choo na msingi wake
Nishawai kupenda
Nishawai kupenda na uwa lake

Nikapewa pigo kubwa
Na maumivu makali kutoka kwake
Akili ilishasema no no no
Imefika kikomo
Pengine mapenzi sio kipaji chake

Dah
Moyo unewasiliana na nafsi
Wamekaa kikao waachane na mapenzi
Na wote wamesema basi
Washapiga tukio haijapita hata mwezi

Wanatamani kukupa nafasi
Shida walipotoka washaumizwa na wengi
Je una kipi cha kuwashawishi
Cha kuwafanya warudi kwenye mapenzi?

Mimi mwenzio na wasiwasi
Naogopa utanipa pigo
Na wasiwasi nishachoka kuibeba mizigo
Niambie kweli kama utanipenda mwenzio
Niambie ukweli

Jamani naogopa
Mwenzenu naogopa
Jamani naogopa
Mwenzenu naogopa

Ooh mai mai
Lody music in this one

Ooh mapenzi yalinifanya nilewe kucha
Ooh mapenzi yakanifanya nidate

Nishawahi kupenda mtoto wa mtu akaniongopea
Nilimpenda moyo wangu akauchezea
Wapi nilimkosea?
Maana haiko fair nilimpenda

Ooh hakujua kama ananikata
Nikiomba match ndani kinawaka
Nakondeshwa oohhh nashindwa takata
Ooh naogopa

Mimi mwenzio na wasiwasi
Naogopa utanipa pigo
Na wasiwasi nishachoka kuibeba mizigo
Niambie kweli kama utanipenda mwenzio
Niambie ukweli
Jamani naogopa
Mwenzenu naogopa
Jamani naogopa
Mwenzenu naogopa

WRITERS

Alkhaj Rajab, Hassani Nassoro Mohamed, Omary Alawi Omary, Adamu Salumu Mshamu

PUBLISHERS

Lyrics © DITTO MUSIC

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other