LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Twakuinua (feat. Christine)

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
mhh ye ye

Dear Lord
Tumekuja mbele zako Bwana
Tunakushukuru na tunakuabudu
Jehovah for the great things you've done for us
Kwa sifa na wema umetupa nafasi
na to repent to repent to repent
To repent to repent
So now to repent to repent to repent
To repent ye

I lift you high
Twakuinua twakuinua
I lift you high (high)
Twakuinua twakuinua

(Eh)Twakuinua Twakuinua
(sing again sing again sing again ye ye)
High....(oh na na na) (oh na na na)
Twakuinua twakuinua (sing again sing again)

Bwana umeniinua
Mbele ya watu wote
Nami nitakusifu
Nitakupa praise kila siku
Chini kwa magoti mimi nitaenda
ye ye ye...

I lift you high
Twakuinua twakuinua
I lift you high (high)
Twakuinua twakuinua

(Eh)Twakuinua Twakuinua
(sing again sing again sing again ye ye)
High....(oh na na na) (oh na na na)
Twakuinua twakuinua (sing again sing again)

Vipofu waweza kuona
Wagonjwa waweza kupona
viwete waweza tembea
Agano lake ni kweli
Agano lake ni kweli

Vipofu waweza kuona
Wagonjwa waweza kupona
viwete waweza tembea
Agano lake ni kweli
Agano lake ni kweli

(High)Twakuinua twakuinua
(High)Twakuinua twakuinua

WRITERS

SYLESLIE MATIAS

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup IconThumbsup IconThumbsup Icon
Theme

None