Lengo langu na mimi niwe baba watoto
Baridi la tanda na wewe ndio joto
U make me mi feel everyday we gat this energy
Turuke visiwa Pemba na Greece
For God’s sake jiggy like we aint no gee’s
Mimi na wewe tuna mechi mechi
unanipa ma confidence eeew
Yani we ukini peti peti mwili ganzi nusu
kaputi Tepe tepe na sijiweziii eeh
We fly over way(over way) Everyday
Vacation Far away(damn sugar)
We fly over way(over way) Everyday
Vacation Far away(we fly away)
I swear to God sijiwezi kwako Nyang’anyang’a (Nyang’anyang’a) Ng’ariba amshinda kungwi kikiumana
unanichezesha kama mpira wa dana dana(dana dana) Sing'oki ng’o kwako Nyang’anyang’a
Wamebariki wazazi hakuna wakupinga
You’re the only one, kukuacha ni ujinga
Right in my eyes daily ntakulinda (lindaaa)
Hata ipite ajali amini ntakukinga (kingaaa)
We fly over way(over way) Everyday
Vacation Far away(da sugar)
We fly over way(over way) Everyday
Vacation Far away(we fly away)
Oowaaah Owaaa We Fly Awaaaay
WRITERS
Emmanuel Mkono, Aika Marealle, Shully, Francis Matuja