LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Mama

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Najivunia sana, najivunia
Kukuita mama, kukuita
Nakupenda sana, nakupenda
I'm proud to call you mama
I'm proud to call you mama

Najivunia sana, najivunia
Kukuita mama, kukuita
Nakupenda sana, nakupenda
I'm proud to call you mama
I'm proud to call you mama

Penzi lake ni zuri siogopi kusema
Niko naye rafiki wangu wa tena na tena
Haya mapenzi ni bure mwenzenu sijalipishwa
Anasema ananipenda hata ka nafuranga kichwa

We mama, kupendwa na we ni raha
Maombi yako ni silaha
Na ndio maana niko sawa
Wah aki wah na ndio maana we ni shujaa
Kuna mengi umenifundisha
Sifa zako nitatangaza

Najivunia, najivunia mama
Nakupenda, aki wee

Najivunia sana, najivunia
Kukuita mama, kukuita
Nakupenda sana, nakupenda
I'm proud to call you mama
I'm proud to call you mama

Najivunia sana, najivunia
Kukuita mama, kukuita
Nakupenda sana, nakupenda
I'm proud to call you mama
I'm proud to call you mama (Mashallah)

Ehh mama, asante sana
Kwa yote uliyonipa asante sana
Ulinitunza vyema ma
Ukanilinda vyema ma
Na nikulipe aje mama
Nikurudishie msaada
Shangalia shangalia shangalia sana
Karibia karibia siwezi kuwacha
Shangalia shangalia twamshangilia mama
Karibia sitakuwacha
Shangalia shangalia twamshangilia mama
Karibia na sitakuwacha

Najivunia sana, najivunia
Kukuita mama, kukuita
Nakupenda sana, nakupenda
I'm proud to call you mama
I'm proud to call you mama

Najivunia sana, najivunia
Kukuita mama, kukuita
Nakupenda sana, nakupenda
I'm proud to call you mama
I'm proud to call you mama

You're my mama, my mama
Proud to call you mama
You're my mama

You're my mama, my mama
Proud to call you mama
You're my mama

You're my mama, my mama
Proud to call you mama
You're my mama

You're my mama, my mama
Proud to call you mama
You're my mama

WRITERS

John Mwaura

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other