Waamka asubuhi, cha kutia mdomoni hakuna
Na deni mtaani, kodi ya nyumba unadaiwa
Watoto nao shuleni, ada wamefukuzwa
Mkeo yu hatarini, hoi kitandani anajiuguza
(Eeh mwombe yeye tu) ctatenda
(Mwombe, mwombe yeye)ctakupa
Cha msingi wewe jipe moyo
Ya dunia yanavunja moyo hoouh
ctakupa nguvu ya kustahimili mabaya hayo
(Mwombe, mwombe yeye) ctakupa
(Hee eeh mahitaji yako)ctatenda
(Haja ya moyo wako baba)ctakupa
Mungu wetu hachelewi, hawahi
Kwa wakati atatenda, mtumaini
Mungu wetu hachelewi, hawahi
Kwa wakati atatenda, atatendaa
(Umechoka, umelia, umeshindwa, tumaini hauna tena)ctakupa
(Mweleze baba yeyeeh) ctatenda
(Mwambie Yesu, mwambie Baba)ctakupa
(Mwambie haja ya moyo)ctatenda
(Yelele yelele yelele iyeeh)ctakupa
(Heeh heeh Baba ah)ctatenda
(Mwambie haja ya moyo ooh) ctakupa
(Usivunjike moyo) ctakupa