LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

HAUBADILIKI

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Ninajua Bwana atatenda
Kwa wakati wake atafanya
Nikipata, nikikosa
Haibadilishi
Maana hata kuishi kwangu Ni yeye
Haibadilishi, haibadilishi kua yeye Ni Mungu
Oooh ooh

Neno moja nimelitaka kwako wewe Bwana
Nalo ndilo nitakalo litafuta aah
Nikae nyumbani mwako
Siku zote za uhai wangu
Niutazame uzuri wako Bwana
Na kutafakari hekaluni mwako
Siku zote za uhai wangu

Uliposema nitafuteni uso wangu
Moyo wangu umekuambia nitakutafuta
Uso wako, Uso wako
Usijiepushe nami wako
Usinitupe Baba wala usiniaache
Umekua msaada wangu, na wokovu wangu
Maana wakungonjeao huwa hodari
Nipe nguvu, Nipe nguvu
Nikungoje wewe Bwana

Wewe haubadiliki
Bwana
Unadumu milele
Bwana
Haubadiliki
Bwana
Unadumu milele
Bwana
Oooh Oooh

WRITERS

Asheri Wilbard

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup IconThumbsup Icon
Theme

Coarse Language