(Nna nna nna na na na na)
Na ni wengi hiih waliosema mbele yangu
Walionicheka mdomo wamefunga
Walionibeza imebaki historia
Umeniheshimisha Daddy ooh
Ukapigana vita mbele ya adui zangu
Ushuhuda halisi wa matendo yako
Ila kwako Mungu unalo NENO
Ila kwako Mungu una vitendo
Ona wanavoshangaa hawajui Bwana umefanya
Maana wakikumbuka nyuma huwakujua nini ulipanga
Sijawahi ona mwenye haki wako umemuacha ahaay
Wala watoto wote wa kizazi chake kuhangaika aaah
Ukapigana vita mbele ya adui zangu
Ushuhuda halisi wa matendo yako
Ila kwako Mungu unalo NENO hoouoh
Ila kwako Mungu una vitendo