LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

NI WEWE

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Mahali hapa ni pazuri nituliapo uweponi mwako
Waniongoza na roho wako wewe
Uliponitoa ni mbali siwezi eleza hapa nilipo ooh
Ni kweli sikufaa Mimi kuitwa mwana wako ila ni Neema
Nikuombapo we faraja yangu
Katika tabu yangu
Sikio lako lanisikiliza wajibu dua zangu
Bwana ni wewe

Hata ndimi elfu elfu haziwezi kueleza
Ukuu wako kumaliza
Hata nyimbo elfu elfu hazitosha kueleza
Ukuu wako kumaliza
Ni wewe ni wewe

Uumbaji wako washangaza
Kila ufanyalo ni jema
Nyimbo nzuri nitakuimbia wewe
Na nafsi yangu itakuishia
Umenifadhili, umenipendelea
Kama sio wewe na niseme sasa

Sikio lako lanisikiliza wajibu dua zangu
Ni wewe

Hata ndimi elfu elfu haziwezi kueleza
Ukuu wako kumaliza ooh
Hata nyimbo elfu elfu hazitosha kueleza
Ukuu wako kumaliza
Ni wewe

Ni wewe, mwalimu wangu
Ni wewe, kiongozi wangu
Ni wewe
Tumaini la kesho yangu
Ni wewe , Ni wewe
Ni wewe
Ni wewe, tumaini langu
Ni wewe, la kesho yangu

Hata ndimi elfu elfu haziwezi kueleza
Ukuu wako kumaliza
Hata nyimbo elfu elfu hazitosha kueleza
Ukuu wako kumaliza

WRITERS

Asheri Wilbard, Josiah Kaleb

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup IconThumbsup IconThumbsup Icon
Theme

None