Nitaingia malangoni mwako kwa sifa
Niwaeleze watu wako jinsi unavyotisha
Msalabani ushindi ulitupatia
Ya thamani damu ulitulipia
Kuna hali Mimi nilizopitia
Na ajali nyingi ulinishindia
Wajua wewe mengi niliopitia
Na shida tele wewe ulinishindia
Kuna jinsi Mungu unajua kunisitiri
Kibinadamu hata ninashindwa kufikiri
Kuna jinsi Mungu unajua kunifadhili
Kibinadamu hata ninashindwa kufikiri
Kuna wakati nakosa maneno mazuri ya kukueleza
Jinsi wewe ulivyo mzuri na pendo lako lanitosheleza
Nipitie nini, iwe hali gani
Nipitie nini iwe hali gani
Kuna jinsi Mungu unajua kunisitiri
Kibinadamu hata ninashindwa kufikiri
Kuna jinsi Mungu unajua kunifadhili
Kibinadamu kibinadamu siwezi
Moyo wangu umejawa sifa, uinuliwe yeeh
Wimbo nitakuinua, pokea sifa zangu Baba