Usilale na maswali, hofu na mashaka moyoni
Majonzi na hulali, msaada hauoni
Hata usiku uwe mrefu, asubuhi yaja
Giza laondoka, upo mwangaza
Hofu na mashaka juu ya kesho yako, inatoka wapi
Ikiwa hata haujui kesho yako utaiona vipi
Ila yupo Mungu mwandishi wa maisha yako
Anaijua kesho yako itaishia vipi, yes
Achana na maneno yanayosemwa juu yako
Yasiuvunje moyo wako, maana kesho yako ipo kwake
Mawazo atuwaziayo ni mema tena ya amani kweli
Kutupa tumaini la kesho maishani
Nasi tukimwomba, atusikiza
Hofu na mashaka juu ya kesho yako
Unaitoa wapi inatoka wapi
Ikiwa hata haujui kesho yako kama utaiona
There's a lot of pressure facing us young people
We have a lot, provided to aah social media pressures
Stress of getting a job, starting a family
Paying students loan and a lot that results to stress
And some of us have committed suicide, so sad
But the bible says Cast all you care upon Him