Ni weh unalianga mi nikicheka, Hmm
Niko spark ya light, thunder, Hmm
Ni weh unalianga mi nikicheka, Hmm
Niko spark ya light, thunder, Hmm
Naweza kutafuta tafuta sana lakini
Unadhani napandisha pandisha ladder
Lakini nabuy ma stuff za hanger
Mi nao ni never ka hao kupanda
Naweza kumada bila kungangana juu mali ni yetu lakini weh hama
Yao ni yetu, huna haya' sema ni zetu lakini ni hekaya
Kuna eka yenye iko na papaya ndio maana uso inasell vibaya
Rap ni mbaya, kula kabaya
Ndio uweze kujisell vibaya
Na mi naona una mbaya mabaya lakini jibambe stuff si mbaya
Kuna wabaya pale tom mboya na pia wabaya wa side za ngara
Na vile nang'ara mi udunga vibaya kubuy mastuff za flex ya parklands
Salive glands zinawasha vile namezea mate your pajas
Prankasha alinisho nikam kudish panir si nyama
Ni weh unalianga mi nikicheka, Hmm
Niko spark ya light, thunder, Hmm
Ni weh unalianga mi nikicheka, Hmm
Niko spark ya light, thunder, Hmm
Teka teka lightning thunder
Caught in a bottle ni mimi
Cheza na mimi utawekwa kingi
Swahili mingi ni mimi nabihi
Mna act up tu sana tuliz hivi
Ukidai kujenga jina usibaki
Afanya lightly kungfu tai chi
Ka comics ni mimi ndio hapa naleta relief
Ka jina kwa mawe ni bigi kushinda kulive
Ni weh unalianga mi nikicheka, Hmm
Niko spark ya light, thunder, Hmm
Ni weh unalianga mi nikicheka, Hmm
Niko spark ya light, thunder, Hmm
Ni weh unalianga mi nikicheka, Hmm
Niko spark ya light, thunder, Hmm