Wowowo... B classic ...006
Oyayaah utasema najikweza lakini niukweli nataka kueleza
Mmmh Nasinywi chuzi la pweza
Kama michezo yote nimeshaiweza
Sijui kupenda ninajini la kucheat
Wema sepetu Gigy wa makiki
Asa Tanasha na vinka wamenipost
Ivi itakua kweli ama mikosi
Kuhifadhi nguo Kwa maduka
Mwenzenu mi sijui kupenda
Mwenzenu mi sijui kupenda
Mwenzenu mi sijui kupenda
Nina misuli mi sikulagi veve
Nikiwa Kwa bed lazima ujibebe
Matangazo tangaza usikike
Navyo kupiga randa lazima ulainike
Cady B Minaj.... Victoria kimani
Mwenzenu nimefunzwa funzwa
Nimepewa mizizi nime kingwa kingwa
Huwaga mi nashinda shinda
Hakuna mechi mi na fungwa fungwa
Mi ni shida nawavukisha mito mito
Kwao mi ndo bishoo bishoo
Na show zangu mwanzo mwisho
Kuhifadhi nguo Kwa maduka
Mwenzenu mi sijui kupenda
Mwenzenu mi sijui kupenda
Mwenzenu mi sijui kupenda
Mwenzenu mi sijui kupenda