Onanah B classic 006 mtu...... mbad
Sherehe bila mamanzi n uwongo si unajua wanatukoleza
Tukinywa tunavo party na uhondo mpaka B anabembeleza
Tunapenda mushenee mpaka tunagombana na waiter
Tumechafua meza mpaka mademu wanajileta
Hapa kushoto ooh nimejawa na watoto ooh
Tunapenda mushenee mpaka tunagombana na waiter
Tumechafua meza mpaka mademu wanajileta
Hapa kushoto ooh nimejawa na watoto ooh
Hatuna pressure tuko happy tunafurahia
Hii party haichagui rika eeeh
Vienyeji wanakubalika eeeh
Na sheree niya Kila mtu eeh
Kujibamba ni nafasi ya mtu eeeh
Watu wa bia mchezeshe vitambi eeeh
Wa wisky muendelee ku dance eeeh
Gean na wine muendelee ku wine eeeh
Watu wa soda nyi mpewe straw aaaaah ajeeeee
Tunapenda mushenee mpaka tunagombana na waiter
Tumechafua meza mpaka mademu wanajileta
Hapa kushoto ooh nimejawa na watoto ooh
Hatuna pressure tuko happy tunafurahia
Tunapenda mushenee mpaka tunagombana na waiter
Tumechafua meza mpaka mademu wanajileta
Hapa kushoto ooh nimejawa na watoto ooh
Hatuna pressure tuko happy tunafurahia