Napenda unavyonita baby me na enjoy
Napenda ukinishika huku me na enjoy
Napenda ukini busu busu me na enjoy
Napenda aaah napenda napenda penda
Napenda unavyonipa vyote me na enjoy(sana)
Napenda ukinitomasa nabaki hoi(sana)
Napenda unavyonipa heshima
Na moyo unazizimaa mmmmmh
Napenda unavyonipa vyote me na enjoy(sana)
Napenda ukinitomasa nabaki hoi(sana)
Napenda unavyonipa heshima
Na moyo unazizimaa mmmmmh