LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Peace

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
I feel Aman (Peace)
Toka Moyoni
Ujaniacha lonely
Nimebarikiwa

Umenitoa chini (kwenda juu)
Ukanipa thamani
Ujawahi niacha me
Nimebarikiwa

I feel peace in my heart
Toka nilipo kua na wee
Me na ringa nikiwa na wee
Tena na vimba nikiwa na wee

I feel peace in my heart
Toka nilipo kua na wee
Me na ringa nikiwa na wee
Tena na vimba nikiwa na wewewewe


Hallelujah Hallelujah
Hallelujah
Hallelujah Hallelujah
Hallelujah

Baby Jambo Jambo Mama
Habari we ni mzuri sana
Baby Jambo jambo Mamaa
Habari gani we ni mzuri sana

Since i saw your face
English figure
Shape bomba
My beyonce me jigga
No tattoo
No Ganja no cigger
Harufu parfum
Chumbani ni tiba

Ma mamy ma mamy mamy ooh
Umenishika pengine sioni ooh
Baby me ni amani moyoni ooh
Ni Amani

Hallelujah Hallelujah
Hallelujah (Amen,Amen,Amen,Amen)
Hallelujah Hallelujah
Hallelujah (Amen,Amen,Amen,Amen)

WRITERS

SADDAM ADAM MSIGWA, HAMISI ABDUL BIGO

PUBLISHERS

Lyrics © Vydia, Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup IconThumbsup IconThumbsup Icon
Theme

Coarse Language