Sometimes nakumiss niskize
Ka kuna kitu unashuku niulize
Nilimshow babe wee hunipea mareasons
So si mind kuhusu wengine
Life yangu imekuwa na seasons
So baada ya hii najua kuna ingine
Najua nikona insecurities
Kila time unafanya natrip
Unafanya naloze my sleeps
Si understand why you do me like this
Si understand why you do me like this
Ni wangapi wandai niwachote
Wakureplace wanangoja utoke
Unamove ka ujali chochote
Ulikua unalight my day up
Nikamma joh uliishiwa na tokens
Sometimes nakumiss niskize
Ka kuna kitu unashuku niulize
Nilimshow babe wee hunipea mareasons
So si mind kuhusu wengine
Life yangu imekuwa na seasons
So baada ya hii najua kuna ingine
Sometimes nakumiss niskize
Ka kuna kitu unashuku niulize
Nilimshow babe wee hunipea mareasons
So si mind kuhusu wengine
Life yangu imekuwa na seasons
So baada ya hii najua kuna ingine
Sometimes nakumiss niskize
Ka kuna kitu unashuku niulize
Nilimshow babe wee hunipea mareasons
So si mind kuhusu wengine
Life yangu imekuwa na seasons
So baada ya hii najua kuna ingine
Nakumbuka the first day Babe tulimeet
Ulikua on red na ulikua smart
Nakumbuka first day babe tulikiss
Ulinisetia arch nikaskia shavaa
Yes nakupenda siwezi kataa
She's a beautiful soul with alot of scars
Sometimes nakumiss niskize
Ka kuna kitu unashuku niulize
Nilimshow babe wee hunipea mareasons
So si mind kuhusu wengine
Life yangu imekuwa na seasons
So baada ya hii najua kuna ingine
Sometimes nakumiss niskize
Ka kuna kitu unashuku niulize
Nilimshow babe wee hunipea mareasons
So si mind kuhusu wengine
Life yangu imekuwa na seasons
So baada ya hii najua kuna ingine