Oh nakuvizia tukeshe nasubilia tutete
Nakuvisia tusepe napulizia Mtete
Watakususia mkweche Nitakuzugia na pete
Si unajua vile mi niko hoi hali tete
Wapo walosema kwamba sipigi show
I wish you know wasikushawishi doo
Habari zao zakua, sitishi hivyo
Charge empty kila suka yani baterry low
Aah leo una vibe tukale fresh juice
Mi mgonjwwa we tabibu njo unitibu one stress nice
Nitakuwa mjinga niki messi messi
Ulikua nami toka sina kitu enzi napiga deshi deshi
Iko mikono salama deka mmh
Utakacho niambie ohh baby
Aaah don’t let them fool you
Kisa umenipenda mimi huyu
Mapenzi ya dhati na hiisa ulikwa nayo toka kitambo
Na mengi uka hadithia, tunawezaje ikawa mipango
Since day one niko na plan kichwai
Nimilki mjengo na bonge la wife kwa ndani
Why so utani wife waku vibe kanisani
Sio yule wife wa stamina alisepa nyumbani
Yani kama chuga baridi yetu yetu
Iko mikono salama deka mmh
Utakacho niambie ohh baby