We mamo, usijisahaulishe hapo,usisahau kunipatii nambo
Nakwambii mambo utaki kuitikii, naomba usisahau kunipatii nambo
Usisahau kuondoko bila kuniachii nambo
Napendi sani namba, hasa zinazo anzia na sifuro
Zinazo anzia sifuri, na kuendelea saba, na ngapi nini
Au moji, sijui ngap , sifuri, sito
Napendi sani namba, naomba usisahau kunipatii nambo
Moja ya, mbili ya, tatu ya, nne ya, tano ya, sita ya, saba ya, nane ya
Minapenda, mina, minapenda, minamba
Minapenda, mina, minapenda, minamba
I'm the teacher, mwalimu darasani
I'm the teacher , mwalimu ma batani
I'm the teacher , mwalimu darasani
I'm the teacher, mwalimu darasani
Moja ya, mbili ya, tatu ya, nne ya, tano ya, sita ya, saba ya, nane ya
Moja ya, mbili ya, tatu ya, nne ya, tano ya, sita ya, saba ya, nane ya
Ukitaka pesa, ukitaka tungi
Ukitaka tugombane, ninyime namba, ninyime namba
Ukitaka shisha, ukitaka mirungi
Ukitaka tugombane, ni nyime namba, ni nyime namba
Moja ya, mbili ya, tatu ya, nne ya, tano ya, sita ya, saba ya, nane ya
Minapenda, mina, minapenda, minamba
Minapenda, mina, minapenda, minamba
I'm the teacher, mwalimu darasani
I'm the teacher , mwalimu ma batani
I'm the teacher , mwalimu darasani
I'm the teacher, mwalimu darasani
Tano na huku tano,jumla yake kumi
Nyingine za kingereza, nyingine za kirumi
Tano na huku tano,jumla yake kumi
Nyingine za kingereza, nyingine za kirumi