LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Ana Wivu Dance Version

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Verse 1
We si ulisema una mpenzi nami nna mpenzi na nnampenda, sasa chuki ya nini kati ya mimi na wewe
Ulininyima usingizi kabla ya kulala wako unampost, sasa chuki yanini kati ya mimk na wewe!
Tusioneane wivu uh
Nimeshapata majibu uh
Mapenzi gani butu, yani kila kushikiana visu
Uliomeza p2
Nilijifunza kitu uh uh
Ulinivunjavunja, majeraha moyoni, mwenzako anatibu uh uh
Kanistahi rabi, ungetuacha tukalala
Punguza vimesejimeseji vyako simu yangu anayo mwenzako ooh
Chorus
Ananiuliza
Ananiuliza
Ananiuliza we nani?(nani anapiga simu usiku
Ananiuliza
Ananiuliza
Ananiuliza we nani(mwenzako ana wivu)

Verse 2
Kwani ih ih umesahau, ulinionesha picha
Nameseji zake unaforwad ili umiumize
Mwenzako anakosa gani, au kosa kunipenda mimi
Kwangu uliacha nini, ndo nikuulize
Mwenzako namwitaga mama ukimya
Kwako maji yalizidi kina
Yani bado kidogo nikose uzima, niache nilee
Kanistahi rabi, ungetuacha tukalala
Punguza vimesejimeseji vyako, simu yangu anayo mwenzako ooh

PUBLISHERS

Lyrics © ONErpm, Sentric Music

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other