Si ulisema unampezi na unampenda nami nampenzi ih,
sa shida ya nini kati ya mimi na wewe!
Ulininyima usingizi kabla ya kulala wako unamposti ih
Sasa shida ya nini kati ya mimi na wewe!
Mapenzi gani butu yani kila siku kushikiana visu uh
Ulinivunja vunja majeraha moyoni, mwenzako anatibu uh
Kanistahi rabhi, ungetuacha tukalala.
Punguza vimesejimeseji vyako,
simu yangu anayo mwenzako oooh
Unatunyima amani( na nyumbani si uliondokaga mwenyewe)
Unatunyima amani(hivi kwanini wewe)
Unatunyima amani(niache mwenzako awe na amani wewe iyeee)
Ulinionyesha picha, na meseji zake unafoward ili uniumize!?
Mwenzangu anakosa gani, au kosa kunipenda mimi,
kwangu uliacha nini ndo nikuulize!?
Mapenzi gani butu yani kila siku kushikiana visu uh
Ulinivunja vunja majeraha moyoni, mwenzako anatibu uh
Kanistahi rabhi, ungetuacha tukalala.
Punguza vimesejimeseji vyako,
simu yangu anayo mwenzako oooh
Unatunyima amani( na nyumbani si uliondokaga mwenyewe)
Unatunyima amani(hivi kwanini wewe)
Unatunyima amani(niache mwenzako awe na amani wewe iyeee)
Ananiuliza (mwenzako anauliza)
Ananiuliza(tena unamuumiz)
Ananiuliza(nani anapiga simu usiku)
Ananiuliza (tena ananiuliza)
Ananiuliza (mwenzako ana wivu)