LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Dear X

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Mara ya kwanza kukuona ah, macho yalipiga picha
Nega ikabaki moyoni, moyoni!
Nikasema nikikuona tena, sitaweza ficha
Mana umejaa moyoni, mawazoni

Si rahisi, kuuficha moto, mana moshi utaniumbua ah
Si ushajua (ta la la la)
Ndio nahisi ih ih, nimechelewa kukujua ah
Si ushajua (ta la la la )

Ana vimacho vya na niii, yule wa na nii!
Shape la nanihii, karangi na naniii!
Ana vimacho vya na niii, yule wa na nii!
Shape la nanihii, karangi na naniii!

Mwambie mpe story dear x (ukimwona umwambie)
Kumbukumbu zake nimepiga x( asipige asisumbue)
Mwambie mpe story pia (ukimwona umwambie)
Mwenzake sasa nimetulia( asipige asisumbue)

Kila mmoja ana mengi, yalofanya aumie, baada ya muda unasahau maumivu yanapona
Yalivyo na manguvu mapenzi, leo kidogo nimesahau
Tena kidogo angalau, nimepata kupona

Kila lenye kusudi halina papara, nilingoja tena sikukata tamaa
Nilijua ni makusudi ya muumba kwani ipo siku yangu, itawezekana leo kakushusha kifaa

Tena macho ya nani, uzuri wako wa nani
Urembo wako wa nani, nachanganyikiwa
Mana wanakutamani ih, mafisi wako uwanjani
Tuwapoteze thamani tusijali, babe I love u

Mwambie mpe story dear x (ukimwona umwambie)
Kumbukumbu zake nimepiga x( asipige asisumbue)
Mwambie mpe story pia (ukimwona umwambie)
Mwenzake sasa nimetulia( asipige asisumbue)

WRITERS

Benard Clavery

PUBLISHERS

Lyrics © Sentric Music

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other