LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Size Yako

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Intro
Onana don! Don music

Verse 1
Baada ya urafiki tukarukia mapenzi,
Nakumbe miluzi bado mingi,
Hapo ndipo wengi tunaponzwaga na rangi,
Hatupati wa kufanana nae eh!

Na kumbe mapenzi elimu chuo kikuu kukuu!
Nami nilikuona wewe tu tutu!
Najitutumua tu tu!
Unaning’ong’a kisogo ukiwa na watu.

Nakuuliza unapiga kifua,
Unasema wanakusingizia,
Unajiliza au bado hujakuwa,
Ila bado nakuombeaga dua,
Unalipuuka ka moto wa kibua,
Ukishalewa unanibaniaga pua,
Unanianika utasema umenifua,
Au ndo vile unajikuta wa kishua,

Chorus
Unawaambia….
Mi sio size yako (mara ooh)
Mi sio type yako
Unawaambia…
Mi sio size yako oh (mara ooh)
Mi sio type yako (mara ooh)
Unawaambia…
Mi sio size yako (mara oh)
Mi sio type yako

Verse
Najua sio dawa kulalamika
Na ndomana mabaya sikuandika
Nataka uhakika wa mapenzi yetu,
Mwenzako nilimeza sikutapika

Unanishushua (shuu shuu)
Mtaani vuvuzela (vuu vuu)
Maneno mfululu (fuu fuu)
Yananifikia fikaa

Nakuuliza unapiga kifua,
Unasema wanakusingizia,
Unajiliza au bado hujakuwa,
Ila bado nakuombeaga dua,
Unalipuuka ka moto wa kibua,
Ukishalewa unanibaniaga pua,
Unanianika utasema umenifua,
Au ndo vile unajikuta wa kishua,

Chorus
Unawaambia….
Mi sio size yako (mara ooh)
Mi sio type yako
Unawaambia…
Mi sio size yako oh (mara ooh)
Mi sio type yako (mara ooh)
Unawaambia…
Mi sio size yako (mara oh)
Mi sio type yako

WRITERS

Prince brayban

PUBLISHERS

Lyrics © ONErpm, Sentric Music

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other