Oooh siku izi mapenzi yamekuwa kama vita,
ila mwenzangu unachukulia kawaida
Hao washenzi wanaokupa kichwa,
kwenye njia yako wamepanda miba
Ukiacha mapenzi na kushare kitanda,
Kabla ya uamuzi baby ungepima,
ukubwa wa kosa baby ungepima
Kipi kimefanya ukimbie ungepima,
ukubwa wa kosa baby ungepima
Masikioni, masikioni mwako,
Masikioni, masikioni mwako,
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
Tatizo lako we unang’ang’ania,
unang’ang’ania na kung’ang’ania
Hatuongei yakaisha, kitu kidogo tu unakazania
Umeruhusu machozi yakichafue kitanda,
wakati unajua wakunifuta sina
Kwanza upendo siri yake kupendana,
pili upendo unataka heshima
Mwanzo mapenzi yalikuwa matamu, mithili y sukari iiii
Leo mapenzi yamefika hapa, umekuwa katiiiri iiii
Masikioni, masikioni mwako,
Masikioni, masikioni mwako,
Tu tu tu tu tuliza ball, mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni
Tu tu tu tuliza ball, tututu tuliza ball
Tu tu tu tuliza ball mwenzako nipo kikaangoni