Penzi halimei kwenye matope, linamea palipo moyo mzuri
Kwenye shida my tuwe wote, tupendane kama fahi na chui
Aku! Sikatai we niroge, ila kwako niwe peke yangu
Tupatane kijani tuomoke, nivumilie madhaifu yangu
Haki ya mungu walahi baby buuh, penzi halitaota mkia,
Wanaotaka kupima tunapendana, watajua wenyewe.
Natoka daresalama kwa miguu, kuja tu kukusalimia
Huko ndani ndani ushago, mpaka unielewe
Nachokupendea uko simple, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simple, huna mambo mengi uko simpo
Nachokupendea uko simple, huna mambo mengi uko simple
Baby we uko simple, huna mambo mengi uko simpo
Tell me. (What shall we do)
Tell me. (What shall we do)
Hauvai mawigi, haunywagi mipombe
Haupaki makeup wala maskala
Shape kienyeji, wewe ni promax
Hauvuti mishisha wala sigara
Wewe sio zuwena wa diamond, wala salima wa linex
Tuwe kama Julietha na Romio, tupendane vya ndanindani ooh!
Niko radhi ka shamba niweke bond, ili tu nisikukose
Tuwe kama Julietha na Romio, tupendane vya ndanindani ooh!
Nachokupendea uko simple(mpenzi wangu uko simpo), huna mambo mengi uko simple (hauvai vikuku)
Baby we uko simple (Sio mtu wa bata), huna mambo mengi uko simpo (mmmh eeeh!)
Nachokupendea uko simple, huna mambo mengi uko simple (mmmh eeeh!)
Baby we uko simple, huna mambo mengi uko simpo
Tell me. (What shall we do)
Tell me. (What shall we do)