Usiku na Mchana I praise your name
Nitawale vyote na ni praise your name
Wewe ni MUNGU wa Majeshi wa Majeshi
Wewe ni MUNGU wa Majeshi wa Majeshi
Nikitetereka Wanipa Nafasi
Unatengeneza Njia Pasipo kuwa na njia
Milele nitakuimbia your my GOD
Nikitetereka Wanipa Nafasi
Unatengeneza Njia Pasipo kuwa na njia
Milele nitakuimbia your my GOD
Unanipenda nilivyo like this
We si Binadamu Hunadiliki
Na nitoke kwako niende kwa nani siwezi
Nitoke kwako niende kwa nani siwezi
Nikitetereka Wanipa Nafasi
Unatengeneza Njia Pasipo kuwa na njia
Milele nitakuimbia your my GOD
Nikitetereka Wanipa Nafasi
Unatengeneza Njia Pasipo kuwa na njia
Milele nitakuimbia your my GOD