LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Never Give Up

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Life Mikiki
Usione Kama haturidhiki
Tumeshazoea dhiki Tunapambana
Pesa haishikiki
Tunaomba MUNGU abariki
Tuwatoe kwenye dhiki Baba na Mama

Ni Yeye Aliye Juu
Si niwanae tu
Hawezi kuacha
Tuteseke Sisi wenyewe tu

Aonavyo aliye juu
Sio kama walimwengu
Hawezi kuacha tuteseke
Yupo for me and you

Na ndo maana

I never Give Up
I never Give up Ohhh
Me I never Give up
Napambana
I never give up
Me I never give Up
Me I never give Up

Kuna shida nyingi kitaani
yaani
Kuna mda twashindia viporo
Kitu kidogo inakuwa mgogoro

Watu wanagombana
Ehh Ehhh
Wanarogana
Ehh Ehh
Yote Sababu Ya Dhiki
That is just a reality

Watu wanagombana
Ehh Ehhh
Wanarogana
Ehh Ehh
Yote Sababu Ya Dhiki
That is just a reality

Katika Hii Dunia
Mengi utayasikia
Na mengi utayapitia
Jifunze Kuvumilia

Ni Yeye Aliye Juu
Si niwanae tu
Hawezi kuacha
Tuteseke Sisi wenyewe tu

Aonavyo aliye juu
Sio kama walimwengu
Hawezi kuacha tuteseke
Yupo for me and you

Na ndo maana

I never Give Up
I never Give up Ohhh
Me I never Give up
Napambana
I never give up
Me I never give Up
Me I never give Up

WRITERS

Darki Pro, Bruce Elias Sanane

PUBLISHERS

Lyrics © Dawn2Dark Ltd

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Sadness

Sentiment
Thumbsup Icon
Theme

Sexual