Sina mood leo Sina mood x2
Wacha nipigie jirani maana leo Sina mood kuna mtoto flani naisi ameniudhi jirani jarini jiraaaani ninafika maana Mimi Sina mood
Helloooo pokea simu nifurai nasema halloooo mbona simu iko mbali x2
Aachweee yooh cartoon, unipe vibe nikupe mood upate mautamu nikikupa kuni nisha choka kunyonga na sabuni fiiiiiii
Figa yako number nane weee ulivyo fine yani bigi mama sipati picha ukiinamana uzuri wako nikutunze x2
Nikupe pesa mafungu vinzari walo sema una mogogo nitakushindwa ata sijali ati utanitesa kunichukulia utani maana huku hali mbaya hali sio shwari
Basi jirani njoo tunywe beer zikishapanda kichwani ndio utajua si atujuani leo utajua zikishapanda kichwani ndio utajua
Helloooo pokea simu nifurai nasema halloooo mbona simu iko mbali x2