Wangapi wanaweza chiza chini
Wangapi wanashindana na mimi
Ushawahi onja kitu ka hii
Hujavuta vela na zimekanashi
Umesimamisha juu umekaa na CeeCee
Kawa long dress na Belt ka Michuki
Leo juu ya nduthi Sijadunga chupi
Niko na intentions Mi nadai mkuki
Naleta maziwa Nakuletea cookie
Na nikirombosa Naamsha wahenga
Njwanga ya mjengo Ndio inanijenga