Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Oh nasikia nguvu zake mungu
Oh nasikia uwepo wake hapa
Oh na muona yesu yupo hapa
Oh na muona yesu yupo hapa
Oh nasikia manukato ya mungu
Oh nasikia nguvu zake baba
Oh na muona yesu yupo hapa
Oh na muona yesu yupo hapa
Fungua moyo wako akuhudumiye
Uuu ndiyo wakati wako, oh maana leo yesu yupo hapa
Fungua moyo wako akuhudumiye
Uuu ndiyo wakati wako, oh maana leo yesu yupo hapa
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Wewe unaye pata taabu wewe
Wewe unaye sumbuka sana wewe,
Leta shida zako, maana leo yesu yupo hapa.
Wewe unaye kwenda kwa waganga wewe,
Unaye angaika kutafuta miujiza wewe,
Yesu mutenda miujiza yupo, ni napo imba sasa yupo hapa .
Mtafute sana yesu, kuliko kutafuta miujiza,
Maana yesu ndiye mutenda miujiza
penda sana Kumutafuta yesu
Mtafute sana yesu, kuliko kutafuta miujiza,
yesu ndiye mutenda miujiza
usihangaike kwa wana damu.
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa
Yupo hapa, yupo hapa, yupo hapa