Wanawaza lini watanishusha (oooh)
Huku baba ndio kwanza kumekucha (oooh)
Zee Bado nasimamia ukucha
Wenzako walikuja Gang Gang
Na pisi zao nazipelekea mtutu
Maana siku hizi mambo ipo huku
Wanalia sauti nyingi za kasuku (mmh)
Ma rapper wa siku hizi hawana haya
Kwa jinsi wanavyochana Kimal*ya
Napenda mnavonidiss ile mbaya
Tukikutana bro umetu Inspire
Au unataka uninidiss ujulikane
Kama unataka beef one hundred
Tema shombo zako tuanikane
Na ntamkaza dada yako tuheshimiane
Mana nishawakaa kwenye koo
Its about time here we go
Kila ngoma natikisa nyavu niite Samagoal
Niggaz please bora mniache
I am sorry mana hapa hampati kiki
Nawaza sijui nani ntamwachia kiti
Hata ingekua dala dala sitoi siti
Niite mchonga barabara bibi titi
Wananidiss ili wapate fame
Wananidiss ili wapate fame
You all thought i was finish
Heee kumbe nawakera kama nini
Dada zaao wakiniona wote chupi chini
Na nina wakaa ile kibandidu iddi amini
Oyaa chawa punguzeni speed twende slow slow
Na madanga punguzeni bei iwe low low
Mana huku mtaani tunaa haso ile ki solo
Sisi ndo wale wana ntakutumia ela tomorrow
Nyimbo zao nikisiliza nawapa red sio njano
Mademu vicheche nawagushi
Hawakawii leta mimba za kizushi
Bora tu nile zangu boujee
Wananidiss ili wapate fame
Wananidiss ili wapate fame