LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

ANTIDOTE

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Heee
My antidote
My antidote
Niki wa peke yangu na isi baridi

Moyo na piga bila rhythm
Natemeka nikama wazimu
Bila wewe karibu na mimi
I try to smile but it's not the same

These streets know my name
Every corner reminds me of you
When you're far, my heart feels blue
Tangu uende mbali, furaha imekaa kimya

Nilijua nguvu ya mapensi, nipale ulipo ondoka
You're my antidote
Una poni karibia, heartache inaisha
When you hold me close

Moyo wangu unapata tiba
You're my antidote
Bila wewe I'm vulnerable
Come back home to me my love
You heal the heartache in me
Rudi baby

Nairobi usiku ni ndefu sasa
Bila sauti yako karibu
Kahawa baridi nyimbo za zamani
Zinani kumbusha mapenzi yetu
I'm walking slow thinking of your touch
Missing you a little too much
Every heartbeat calls your name
Girl you're the cure to all this pain
Siku zikisonga pole polele
Moyo wangu bado unakusubiri

Nilijifunza kuwa sina nguvu
Nikikosa wewe karibu na mi
You're my antidote
Unapo nikaribia, heartache inaisha

When you hold me close
Moyo wangu una pata tiba
You're my antidote
Bila wewe I'm vulnerable

Come back home to me my love
You heal the heartache in me
Ukirudi metapona
Ukinitazama nitaishi

Mapenzi yako ni dawa
Nya maumivu ya jana
You're my antidote
Unapo nikaribia, heartache inaisha

When you hold me close
Moyo wangu unapata tiba
You're my antidote
Bila wewe I'm vulnerable

Come back home to me my love
You heal the heartache in me

Nikiku Pata napumua
Nikikukosa na anguka
Wewe nitiba ya Moyo
My antidote forever
It's memories and melodies again

WRITERS

Billy Simani

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other