LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

DEDE

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Aah aah aaaaah...
Aah aah aaaaah...
Aah aah aaaaah...

Wawili, de de,
Tena kama mtoto yaani de de,
Anataka nimbebe,
Tena kwa mgongo nimbebe,

Tunasonga pamoja kama sembe,
Yeye kwangu ni doz kama tembe,
No wonder wakitupa vijembe,
Wivu inawakata kama wembe,

Wawili wawili mimi na wewe,
Wajue bila wewe napata kiwewe,
Kama we ni pombe nataka nilewe,
Shot after shot nataka nipewe,

Kama mtoto mdogo nimbembeleze, de de,
Sitamcheza yeye sio zeze, de de de de
Handle with care mtoto ni Jeje, de de,
Kama backpack kuja nikubebe, de de,

Nikubembeleze, de de
Nikupendeze, de de
Girl your body jeje, de de
Kuja nikubebe, de de

Napenda ukipika nijibonde,
Ona nanenepa mi kibonge,
Hawaezi sema mi mkonde,
Tuzeeke pamoja kikongwe,

Penzi la toka nitoke,
Chunga lisifanye waturoge,
Unileweshe ka pombe,
Wenye Mihela wasikuhonge,

Wawili wawili mimi na wewe,
Wajue bila wewe napata kiwewe,
Kama we ni pombe nataka nilewe,
Shot after shot nataka nipewe,

Kama mtoto mdogo nimbembeleze, de de,
Sitamcheza yeye sio zeze, de de de de
Handle with care mtoto ni Jeje, de de,
Kama backpack kuja nikubebe, de de,

Nikubembeleze, de de
Nikupendeze, de de
Girl your body jeje, de de
Kuja nikubebe, de de

Wawili wawili kama chopsticks,
Mimi bila wewe, doesn't make sense,
Ukiniwacha I swear I'll fall sick,
We belong together, baby no pretense,

Wawili wawili kama chopsticks,
Mimi na wewe ni perfect mix,
Kama wimbo bila beat, hautachezeka,
Mimi na wewe ni kitu kimoja,

Kama mtoto mdogo nimbembeleze, de de,
Sitamcheza yeye sio zeze, de de de de
Handle with care mtoto ni Jeje, de de,
Kama backpack kuja nikubebe, de de,

Nikubembeleze, de de
Nikupendeze, de de
Girl your body jeje, de de
Kuja nikubebe, de de

Kama Noah's Ark tuko wawili,
Nakupa moyo wangu mpaka mwili,
Walenge wale majusi kafiri,
Hii safari ya mapenzi tutaSafiri,

WRITERS

Billy Simani

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other