LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

HAINIHUSU

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
It's memories and melodies again

Unataka tukosane
Ndio uende kunianika kwa mtandao
Unataka nitukane
Ndio useme vile nina madharao
Unangoja tuwachane
Ndio uanike madhaifu yangu uuh
Ukitaka nitukane
Sina time ya kutupiana majungu uuh

Kwa mahusiano
Hakuwezi kosa malumbano, Uuuh
Na kuna kukosana, kuelewana
Kubishana Na kuwachana

Hainihusu
Unachofanya na Maisha yako, Oooh
Hainihusu
Utabaki na makasiriko, Oooh
Hainihusu
Mimi nawe kwa mahusiano noooo
Hainihusu
Nenda zako staki mabishano, oooh

Sina time ya fitina
Ndio maana hutanipata nikibisha
Sisi ni watu wazima
Tukiwachana sio mwisho wa Maisha
Utapata mwingine wa mtima
Atakaye kupenda kunishinda
Dear Exi usiwe bitter
Kuwachana isiwe vita aah

Kwa mahusiano
Hakuwezi kosa malumbano, Uuuh
Na kuna kukosana, kuelewana
Kubishana Na kuwachana

Hainihusu
Unachofanya na Maisha yako, Oooh
Hainihusu
Utabaki na makasiriko, Oooh
Hainihusu
Mimi nawe kwa mahusiano noooo
Hainihusu
Nenda zako staki mabishano, oooh

Nakuombea mema maishani
All the best in your future journey
Mimi nakuwacha kwa amani
Nakuombea mema maishani
All the best in your future journey
Mimi nakuwacha kwa amani

Hainihusu
Unachofanya na Maisha yako, Oooh
Hainihusu
Utabaki na makasiriko, Oooh
Hainihusu
Mimi nawe kwa mahusiano noooo
Hainihusu
Nenda zako staki mabishano, oooh

Hainihusu
Unachofanya na Maisha yako, Oooh
Hainihusu
Utabaki na makasiriko, Oooh
Hainihusu
Mimi nawe kwa mahusiano noooo
Hainihusu
Nenda zako staki mabishano, oooh

Move on, move on
Don't cling to what is lost
Nenda zako
Kula vako, Uuuh

WRITERS

Billy Simani

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other