LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

MAPENZI SIO USHENZI

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Melodies over rhymes yeah

Unaye mtaka hakutaki
Na anaye kutaka humtaki
Nairobi ni confusion wololo
Usitake kujifunga no no no

Akikupenda we pendana naye
Akikuwacha we wachana naye

Ushenziiiiiii
Ushenzi ni kupigana na yeye
Na Mapenziiiiii
Mapenzi ni kupendana na yeye

Aah aah aah aaaah
Aah aah aah aaaah
Mapenzi sio ushenzi

Ushenziiiiiii
Ushenzi ni kupigana na yeye
Na Mapenziiiiii
Mapenzi ni kupendana na yeye

Aah aah aah aaaah
Aah aah aah aaaah
Mapenzi sio ushenzi

Niko kwa simu kama wazimu
Natabasamu sikuli ndimu
Niko stoned kama Medusa
Nikimuongelesha huyu kipusa

Kijana wa Nairobi amepata manzi
Analaliwa hadi mkono inakufa ganzi
Hii ni mapenzi sio ushenzi
Fly boy hapa na sio inzi

Akikupenda we pendana naye
Akikuwacha we wachana naye

Ushenziiiiiii
Ushenzi ni kupigana na yeye
Na Mapenziiiiii
Mapenzi ni kupendana na yeye

Aah aah aah aaaah
Aah aah aah aaaah
Mapenzi sio ushenzi

Ushenziiiiiii
Ushenzi ni kupigana na yeye
Na Mapenziiiiii
Mapenzi ni kupendana na yeye

Aah aah aah aaaah
Aah aah aah aaaah
Mapenzi sio ushenzi

Kijana wa Nairobi amepata manzi
Analaliwa hadi mkono inakufa ganzi
Hii ni mapenzi sio ushenzi
Fly boy hapa na sio inzi

Ushenziiiiiii
Ushenzi ni kupigana na yeye
Na Mapenziiiiii
Mapenzi ni kupendana na yeye

Aah aah aah aaaah
Aah aah aah aaaah
Mapenzi sio ushenzi

Ushenziiiiiii
Ushenzi ni kupigana na yeye
Na Mapenziiiiii
Mapenzi ni kupendana na yeye

Aah aah aah aaaah
Aah aah aah aaaah
Mapenzi sio ushenzi

Ni Crazy Nairobian
Chizi wa Nairobi

WRITERS

Billy Simani

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other