Nikidunga Suti mi najidai
Madiva wameiva na wote wanatudai
Kwa meza tunameza tu machupa za divai
Na bado tunasaka daily bread tupate chai
Nikidunga Suti mi najidai
Ukinicheki mi si cheki Ni juu mimi najidai
Nikidunga Suti mi najidai
Madiva wameivaa utadhani ni Mayai
Nawai chai, Na Suti na tai
Nikipita wanawika Ooh my ooh my
Nikidunga Suti mi najidai
Madiva wameiva na wote wanatudai
Kwa meza tunameza tu machupa za divai
Na bado tunasaka daily bread tupate chai
Nikidunga Suti mi najidai