Na sijapata mapenzi ya thirty
Kujichanganya na warembo wako thirsty
Nikitafuta mrembo mtanashati
Najipata na wasichana washerati
Nikitafuta mapenzi ya thirty
Na sijapata mapenzi ya thirty
Yalinipita in my twenties
Tulipoteza kwa mashisha na mashosti
Tunajiona wafalme wa mapenzi
Wakati mwingi tukijiona ma master
Nikitafuta mapenzi ya thirty
Na sijapata mapenzi ya thirty
Yalinipita in my twenties
Nikitafuta mapenzi ya thirty
Na sijapata mapenzi ya thirty
Yalinipita in my twenties
It's memories and melodies again.