Maboys wanataka tuende tuive shada
Round mbili tatu sasa sisi tuko rada
Masanse wakikam tumeshajikata
Mali zangu safi hadi huwezi ukazipata
Kijana ebu sema kila kitu ulikua unafanya
Afisa minajua unataka tu kukanjwa
Nilikulwa maviboko zote kwa mapaja
Ngwai ngwai mangwai ngwai
Ngwai ngwai mangwai ngwai
Ngwai ngwai mangwai ngwai
Ngwai ngwai mangwai ngwai
Wooooiiii ata mimi imeniboo
Kuna maboyz wamekuja jooooh
Ati ngwai ngwai mangwai ngwai (Wooooowiiiii)
Nilichocha masa niko church (Masa niko church)
Kumbe niko baze jaba na kishash
Akipiga tunaenda mtaani very fast
Ebu try to do your things I'll also do my part (Mmhmm)
Alijocha sahi mguu ziko apart (Mguu ziko apart)
Never a thing (Aii mbona) ati mbona unacatch
After strath ni Carribean na ka shirt
Alinidai wakanidai bahati mbaya wakabunt (Twendee)
Ati ngwai ngwai mangwai ngwai
Ngwai ngwai mangwai ngwai
Ngwai ngwai mangwai ngwai
Ngwai ngwai mangwai ngwai Wooooiiii ata mimi umeniboo
Kuna maboyz wamekuja jooooh
Ati ngwai ngwai mangwai ngwai
Aii you want bambam (Bambam)
You want to chill with the big boys (Big boys)
Fireboy... Peru (Aii aii)
Peru peru para daro ni ya eight mbona manze nimelala (Aii)
Buda niko jaba githurai na zimewaii
Buda zimewaii na niko jaba githurai