Izo zingine zafanya nidoz
Zinafanya nashindwa na chores
One more time and we see how it goes
Izo zingine zafanya nidoz
Zinafanya nashindwa na chores
One more time and we see how it goes
Strike it, light it, wapi lighter
Bite it, ignite it, then you enter
Kushitics, Nuwave, video leta
Zote zote from A-Z tunazieka post office na letter
Wenye hawadai kuniona na paper
Jina kuvuka border nikaa ilikuwa kalesa
Hadi washanieka kwa committee
Juu ya vile wanaona nina bidii
Si ni wale huroll bila beta
Izo zingine zafanya nidoz
Zinafanya nashindwa na chores
One more time and we see how it goes
Izo zingine zafanya nidoz
Zinafanya nashindwa na chores
One more time and we see how it goes
Wapi notion, ya kusema navuta *****
Kwani ni nani huwa hadangwi
Kwani i nani alisema matireh zinakuwanga za pinjina gwangi
Wera bado nachora utadhani nishakuwa Peter Marangi,
Vile naflow utadhani niliomokea uko Budalangi
At only 25, mixtape kaa nei
Na nikifika 35, nina Mtito Andei
Kaa nimeacha kwenda shopping juu mi hukuwa na store,
Security tight design wamejipin hadi na mto
Kaa ni mangoto zashine kwa mboto