(Weweeee!) HE HE HE HE (Weweeeee!)
Masiara ra ra haya Masiara
Masiara ra ra haya Masiara
Mbona vibia viwili sijawaka alafu tuondoke (Masiara)
Baby inayumba yumba imenielewa nisiokote (Masiara)
Ugomvi unatoka wapi wakati sijafanya chochote (Masiara)
Chawa pesa ina tafutwa uje kiboya uziokote (Masiara)

Masiaraaaaaaa aya Masiara
Masiaraaaaaaa aya Masiara
Baba mwenye nyumba nakulipa kodi na ndani nisogonge
Kwengine unaupiga mwingi free eti mi ndotoboke
Mkwe kanipa Kisanga nisioe mpaka niokoke
Siri za ndani ni fiche wala si choke
Friji la kifua changu haligandi wanangu nilopoke
Watani piga nyanga kwao sitoke
Masiaraaaaaaa aya Masiara
Masiaraaaaaaa aya Masiara
Masiaraaaaaaa aya Masiara
Masiaraaaaaaa aya Masiara