Nita make dollar (Ah ah ah ah)
Tuta Party hadi juu ya ndege
Ukitaka cha uvunguni ubong'oe
Nikinata nikamate nikila nikila alage
Ukitaka cha uvunguni ubong'oe
Nikinata nikamate nikila nikila alage
I've been looking for my baby
Monday to Sunday tunapiga Tolo
Yani baby uko na Dj Gibbzy on the low
Ndio unawaleta wachumba eh
Eh mullah eh wanataka namba wachumba ehe
Ukiwanazo wewe tamba aha tamba