Nina kila kitu but it's not enough
Nyumba pesa moyo bado rough
Kila nikicheka kuna gap ndani
Ni wewe tu baby unanikamilisha
Wanasema niko juu but I feel low
Kila kitu kipo but I need you close
Ukija karibu I lose control
Lakini wewe I need you more
Na na na don't slow it down
Yalla yalla feel the bass
Nimeona mengi but not like you
Nimepata yote still missing you
Kila nikilala nakuwaza tu
Kila nikiamka I'm needing you
Naqisni bas habibi w khalas
Wallah enta ya omri w bas
Lakini wewe I need you more
Na na na stay where you are