LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Jicho La Ubaya

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
jicho la ubaya kwangu
hakuna anayetizamia
jicho la ubaya jamanii
hakuna alonitizamia

wengine wanapenda kupima
kushindanisha uwezo
wengine wanakula kwa jina
kwasabab ya vigezo
wengine wanakalia shina kwa sababu ya kuhaso

michano ya karapina kama kanywa kamnyweso
mh dereva wetu kakata kala kamnyweso
gari halikwendii
kakataa
anhaaa
ah
oooh
yakikushinda usije ukalia nakupa pole
yakizidi maji ya shingo
we cheza na biti mziki utalia pole pole
we tengeneza mipango bila jichooo

jichoo la ubaya kwangu
hakuna alonitizamia
jicho la ubaya jamanii
hakuna alonitizamia

jicho la ubaya kwangu
hakuna alonitizamia
ah

ukaribu wa jicho kwenye pua
ndo kama ukiwa na ukaribu wa mawingu
ju ya mvua
na ukaribu wa mwezi sio jua
ndo kama usiponiona me karibu na anayejua
mhhn
dereva wetu kakata kanywa kamnyweso
gari halikwendii
kakataa
anhaaa
aah

ooh
yakikushinda usije ukalia nakupa pole
yakizidi maji ya shingo
we cheza na biti mziki utalia pole pole
we tengeneza mipango bila jichooo

jichoo la ubaya kwangu
hakuna alonitizamia
jicho la ubaya jamanii
hakuna alonitizamia

jicho la ubaya kwangu
hakuna alonitizamia
jichooooo oh
jichoo oh
jichoo
hakuna alonitizamia

anhaaa

ah
mdogo elisha apaah
mozeh unapiga vipi mpaka watoto wananuna

we na kumbe kwao unakipeleka
ukija kwangu unanuna
unanuna ununaaa na mimi

mozeeeeh
kochoba wa tilamentoo
big chawa tilamentoo
mwanangu dizokiki tilamentoo
jafary wa uswazi tilamentoo
boss max babuu wewee

WRITERS

mr designer

PUBLISHERS

Lyrics © Big Masterz

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup IconThumbsdown Icon
Theme

None