we tembeleee mchichaaaa ah
we pacheko mchicha maboga
mboga kama uoga mwili ukitaka kuogaa
muombe kama ugali umekata mboga kwa shoga ah
mboga za dunia mpaka mboga za majanii
kudili na makolabo yakitanzania
lolololo lolololo lololo looo
lalalala lalalala lalalala
we tembeleee mchichaaaa ah
we pacheko mchicha maboga
oya sa twende kibaskeli kibaskeli
fanya kuinyonga nafos kali
panya kainyonga mali ya askari
mboga kama uoga mwili ukitaka kuogaa
muombe kama ugali umekata mboga kwa shoga ah
mboga mboga nadili nazo bado
mboga za dunia mpaka mboga za majanii
kudili na makolabo yakitanzania
labda producer mamaa ah aaah
vipi nikupe ngenga mangu bebaa tu
ukishindwa jichenge ukiweza njoo kati
ukileta mboga friji mwenzie kabatii
ukileta uoga ndo mwanzo wa varangatii
maliki liux chunga usifanane nao
man water tilamento jamaa