ooh jamani yallah mama nini tena hiki
mbona moto kujikwaa njiti ya kibiriti
jamanii mama nalidondosha kabati
mbona vijana wa show mbona wanakimbia bado
mbona mi sio bishoo matozi kunipata bado
mbona nachapa mguu ndani nimeweka prado
pesa nyingi kwa kisadoo ustaa kama ronaldo
mbona kuna machawa nawastiri bado
mbona ma-ex wwanapiga simu bado
mbona makabila kuimba singeli bado
mbona kama nio singo mbona kama sipo singo
ooh jamani yallah mama nini tena hiki
mbona moto kujikwaa njiti ya kibiriti
jamanii mama nalidondosha kabati
jamani mbona kaleta ushoga mbele ya chapati
kaleta ushoga mbele ya chapati
kaleta ushoga mbele ya chapati
ngoja niwashe nieke kichwa sawa
ooh mbona nishasikia kelele zao
ngoja niwashe nieke kichwa sawa
ngoja niwashe nieke kichwa sawa
ngoja nikate nieke kichwa sawa
ngoja niwashe nieke kichwa vizuri
ngoja niwape ngoma kama dawa
ngoja niimbe viuno wakate vizurii
mbona kuna machawa nawastiri bado
mbona ma-ex wwanapiga simu bado
mbona makabila kuimba singeli bado
mbona kama nio singo mbona kama sipo singo
ooh jamani yallah mama nini tena hiki
mbona moto kujikwaa njiti ya kibiriti
jamanii mama nalidondosha kabati
jamani mbona kaleta ushoga mbele ya chapati
kaleta ushoga mbele ya chapati
kaleta ushoga mbele ya chapati
kaleta ushoga mbele ya chapati eeh
kaleta ushoga mbele ya chapati eeeh
anakusalimia meneja salum s erious
mbona vijana wa show mbona wanakimbia bado
mbona mi sio bishoo matozi kunipata bado
mbona nachapa mguu ndani nimeweka prado
pesa nyingi kwa kisadoo ustaa kama ronaldo