Natamani kuwa na we mwenzio (Niwe nawe)
Natamani kuwa na we mwenzio (Niwe nawe)
Japo usiku mmoja njo tutoke mpenzi (Niwe nawe)
Hata usiku mmoja njo tutoke mpenzi (Niwe nawe)
My baby my baby (My baby)
kwako nimezama kichizi (Kichizi)
Tena teyari nimepiga na mbizi (Na mbizi)
Every body needs ya coz you are
You are so beautiful girl you blow their mind
Mpaka wana wanaishiwa bundle bundle
They are searching for you for you like this
Lookin for you for you like this
Nawe uko juu uko juu like this
Hauna makuu that's you my miss weeh
Usiwe na habari wakikuona
Natamani kuwa na we mwenzio (Niwe nawe)
Natamani kuwa na we mwenzio (Niwe nawe)
Japo usiku mmoja njo tutoke mpenzi (Niwe nawe)
Hata usiku mmoja njo tutoke mpenzi (Niwe nawe)
Wajua nakufuata for a long time
Hukunipa nafasi ya kulonga eh
Unadhani vipi ntajikonga baby baby
Najua kunamtu unamuwaza eh
Hata mi mwenzako nakutaka eh
Kama nkikufuata usinikatae baby baby
Usiwe na habari wakikuona
Natamani kuwa na we mwenzio (Niwe nawe)
Natamani kuwa na we mwenzio (Niwe nawe)
Japo usiku mmoja njo tutoke mpenzi (Niwe nawe)
Hata usiku mmoja njo tutoke mpenzi (Niwe nawe)
Twende bar kwa bar (Let's go baby )
Twende bar kwa bar (Drama boi )
Natamani kuwa na we mwenzio
Natamani kuwa na we mwenzio
Japo usiku mmoja njo tutoke mpenzi
Hata usiku mmoja njo tutoke mpenzi
Nikichoka unipepee we unipepee we unipepee unipepee
Na unitetee we unitetee we unitetee unitetee