Napenda unavyocheka, napenda unavyo cheka eh
Hasa ukideka eh, hasa ukideka eh
Nitakupa moyowangu, ufanye vile utakavyo
Baby we ni comando, ona umenikill slow
Nitakupa moyowangu, ufanye vile utakavyo
Baby we ni comando, ona umenikill slow
Drop and shake a butty it on me
Mpaka nijiskie niko high so
Nasema kweli I've never been a layer so
Mwanao (That's all i need)
Chochote utakachotaka toka kwangu we chukua usiulize
Girl umenifanya nikuwaze hata kama nkiwa bize
Napenda unavyocheka, napenda unavyo cheka eh
Hasa ukideka eh, hasa ukideka eh
Nitakupa moyowangu, ufanye vile utakavyo
Baby we ni comando, ona umenikill slow
Nitakupa moyowangu, ufanye vile utakavyo
Baby we ni comando, ona umenikill slow
Kila nkiwa na we mmh mmh mmh
Ukiitwa na matozi njiani wakatalie
Usijari kesho ntanunua gari
Nikipata kasalio, tutakwenda kaa mbezi
Baby nipe sampuli oh, kama unatoka unyamwezi