Kila nikipanga dili hazitiki
Nashindwa kuzielewa hitifaki mzee
Akili inanituma ngoja kwanza nfukuzie mjani
Pusha nae hanielewi kisa change
Ananiambia mchizi nile bati mzee
Bora ningejua ile kisela ningetulia nyumbani
Pusha unaniacha sober (Acha soba)
Pusha unaniacha soba (Acha soba)
Napata hasara ikifika every weekend
Mpaka nawaza hii biashara niisitishe
Oh no oh no oh no owh yeh
I think about the weed I'm walking from the street
Naweza pata puff moja nisiridhike
Smoking some more uwoh yei yeh
Namwita pusha nae eti anisiki
That's why he'll never get near till i pay him some coins
Kila nikipanga dili hazitiki
Nashindwa kuzielewa hitifaki mzee
Akili inanituma ngoja kwanza n'fukuzie mjani
Pusha nae hanielewi kisa change
Ananiambia mchizi nile bati mzee
Bora ningejua ile kisela ningetulia nyumbani
Pusha unaniacha soba (Acha soba)
Pusha unaniacha soba (Acha soba)
Naona dago mbona limejaa full
Usoni pusha amekosa nuru iyeh
Dizaini kama namtoza ushuru
He is blaming yeih yeah iyeh
Nkope ntakulipa deni anyway
Usisahau kwamba mi ni mwano oh
Kwenye kesi nyingi nilikuwekea ngao oh yeeh
Namwita pusha nae eti anisiki
That's why he'll never get near till i pay him some coins
Kila nikipanga dili hazitiki
Nashindwa kuzielewa hitifaki mzee
Akili inanituma ngoja kwanza n'fukuzie mjani
Pusha nae hanielewi kisa change
Ananiambia mchizi nile bati mzee
Bora ningejua ile kisela ningetulia nyumbani
Pusha unaniacha soba (Acha soba)
Pusha unaniacha soba (Acha soba)
Nkope ntakulipa deni anyway