You got the whole that butty fire
Nikikutazama unaona haya eeh
Nikikutaka si vibaya (Baya )
Mi wa peku peku bila ndala (Ndala )
Ntakuwa wa pekeyako sula mbaya (Mbaya )
Kita kitambo nimerusha voko (Voko voko )
Una unajifanya kama mtoto (Hey mama )
Huta hutakikunipa hata kimoko (Hey dada )
Mwenza mwezako huku minahisi joto (Joto joto )
Ndomaana mina force collable (Collable )
Nataka unishirikishe mwenzako (Mwenzako )
Unipe utamu kama olando (Olando )
Ntakupa za kijeshi komando (Komando )
Kita kitambo nimerusha voko (Voko voko )
Una unajifanya kama mtoto (Hey mama )
Huta hutakikunipa hata kimoko ( Hey dada )